Select Page

Masomo ya Biblia ya EMMAUS

App ya masoma ya Biblia

Masomo ya Biblia ya EMMAUS

App ya masoma ya Biblia

Inakuwezesha kugundua imani ya Kikristo 

na kukutana na Kristo.

100% bure

Inapatikana katika lugha nyingi

Ya sasa: Kiingereza, Kijerumani, Kifaransa, Kiarabu, Kichina, Kihispania, Kikorasia, Kiswahili, Kifarsi, na Kitigirinya. Lugha zingine zinaandaliwa.

Bila kujiandikisha na isiyojulikana
au pamoja na msaada wa online

Bila mtandao (offline modus)

Wezesha (install) sasa

Kwa kuwezesha (install) App, fungua emmaus-app.com
kwenye simu yako na fungua links zifuatazo:

Je, unapenda kutumia app katika simu yako ya “Windows”?
Kama ndiyo tuma ujumbe kupitia fomu ya maoni!

Mawasiliano / Mapendekezo/ Maoni

Sheria na Masharti ya Mtandao huu